Barack Obama amechaguliwa tena kuwa rais wa Marekani kwa amamu ya
pili katika uchaguzi uliofanyika kuanzia jana.Hongera kwake.
kwa mara nyingine Barak Obama kupata ushindi kwa kishindo kikubwa sana na ndiye Rais wa kwanza Marekani kuwa mweusi na kashinda kwa kura 290 na mpinzani kuwa na kura 203.huku sherehe za kumpongeza obama zikiendelea huko nnchini marekani
No comments:
Post a Comment