HABARI MOTO MOTO ...

Sunday, October 6, 2013

ROSE MUHANDO KAFANYA GUMZO.....


Rose amesababisha vurugu kwa sababu alikuwa aje kwenye show alafu hakuja na watu walikuwa wametoa pesa zao na uwanja ulikuwa umefurika sana watu.kulikuwepo na wachungaji maaskofu wa TAG na watu wengine wengi fans wa rose mhando.,lakini mpaka saa kumi na mbili rose alipopigiwa simu alikuwa hapokei tena.na wiki moja nzima mji wa karatu ulijaa matangazo ya rose mhando. Rose kama ni kweli ulishalipwa pesa za show alafu hukuja sijui damu iliyomwagika utalipaje. watu wanadai warudishiwe hela zao na kudai wametapeliwa na mwinjilisti.

No comments:

Post a Comment