Huu ni ujio mwingine mpya kabisa kutoka kwa msanii Tunda Man kutokea TipTop Connection Manzese. Ambapo katik ujio huu wa Msambinungwa Tunda amemshirikisha AlliKiba.
Kaeni tayari kwa ujio huu na pia endelea kutembelea AnnaPeter.Com ili uweze kupata kuusikiam wimbo huu hapa exclusively.
No comments:
Post a Comment