HABARI MOTO MOTO ...

Friday, October 11, 2013

VITU VYA AJABU VYAKAMATWA MOMBASA.KENYA


 Kontena lilokuwa limebeba vitu vya nyumbani,limekamatwa likiwa na bidhaa nyingi za ajabu kama mafuvu na vitu vingine vya kutisha ambavyo inasemekana huwa vinatumiwa kwenye ibada za dini za kishetani.mzigo huwo bado unashikiliwa na mamlaka ya Kenya na ihii hapo ni repoto ya audio na video ya tukio zima ya mzigo wenyewe kama inavyo lipotowa na the citizen TV

No comments:

Post a Comment