HABARI MOTO MOTO ...

Sunday, October 6, 2013

Watu 70 wauawa.

 

Iraq. Jumla ya watu 73 wameuawa na wengine 100 wamejeruhiwa katika shambulizi lililofanywa kwa mahujaji wa kishia katika mji mkuu wa Irak, Baghdad.
Kwa mujibu wa maofisa wa Wizara ya Ndani, mashambulizi hayo yalitokea  katika Wilaya ya Adhamiyah wakati mahujaji walipokuwa wanaelekea katika misikiti ya kishia.
 Hata hivyo, hakuna kundi lolote ama mtu yeyote aliyekiri kuhusika na mashambulizi hayo ya juzi . Umoja wa Mataifa ulisema takriban watu 1000 waliuawa nchini Iraq katika mashambulizi mwezi uliopita.

 

No comments:

Post a Comment